Na Izo Post Mara Kubebana
Mara Eti Mnabusu Mtamaliza Bando
Unaowatuma Kunitukana
Siogopi Mashushu
Mi Wala Michambo
Kutwa Kwa Mapage Feki
Kama Lokole Inahusu…?
Mkwe Akutaki Eti
Mwenzangu Pole Mbona Kuntu
Vimeseji Kujitumisha Kwa Ndugu Zangu Marufuku
Nyota Imekufubika
Usifosi Umaarufu
Upepo Wa Kisulisuli
Umekuchukua Na Nuksani
Tanga Lipulipuli
Wanakununua Kwa Mizani
Kwangu Pambe Shughuli
Najiashua Burudani
Nna Toto Zurizuri
Nimelitua Tuli Ndani Yiih Yiih Iih Iih
Umekosa Nuru
Umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru
Ukifika Wananuna
Ndondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna
Mengine Nisikufuru
Usie Wa Shaba Wala Chuma